Mobile payment

How to pay with Selcom

• Piga *150*60#

• Chagua 5-Lipia Bili

• Chagua 1-Lipia bidhaa

• Chagua 1-Lipa kwa Mastercard QR

• Ingiza kiasi

• Ingiza namba ya kumbukumbu 60486495

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho Unaweza pia kulipa kupitia Airtel Money App

• Piga *150*01#

• Chagua 5 – Lipa kwa Simu

• Chagua 2 – Lipa kwa Mastercard QR

• Ingiza tarakimu 8 za mpokeaji 60486495

• Ingiza Kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho Unaweza pia kulipa kupitia Tigopesa App

• Piga *150*00#

• Chagua 4 – Lipa kwa M-Pesa

• Chagua 4 – Ingiza Namba yaKkampuni

• Ingiza 123123 (Kama Namba ya Biashara ya Mastercard QR)

• Ingiza Kumbukumbu Namba 60486495

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho

• Piga *150*88#

• Chagua 5 – Lipia Bidhaa

• Chagua 3 – Mastercard QR

• Ingiza Namba ya Malipo 60486495

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho

• Piga *150*02#

• Chagua 5 – Malipo

• Chagua 1 – Lipa Hapa

• Chagua 2 – Lipa kwa Mastercard QR

• Ingiza namba ya mfanyabiashara 60486495

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri kuthibitisha

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho

• Piga *150*71#

• Chagua 6 – Lipa Bidhaa/Tuma pesa

• Chagua 2 – Masterpass

• Ingiza Namba ya Malipo 60486495

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho

• Piga *150*00#

• Chagua 4 – Lipa kwa M-Pesa

• Chagua 1 – Lipa kwa Simu

• Chagua 1 – Ingiza Lipa Namba

• Weka Lipa Namba :  5648613

• Weka Kiasi in Tzs :  35,000

• Weka Namba ya siri : (PIN)

• Thibitisha kununua bidhaa kutoka 5648613
LIPA SERENGETI SPORTS CENTER

• Bonyeza 1  Kuthibitisha.

Utapokea uthibitisho wa SMS.

hakikisha unakumbuka kututumia size ya T-shirt yako na umbali uliouchagua kukimbia kwenye Namba  0756 720 720

Tutumie ujumbe kwa kupitia namba uliyo itumia kulipia ukituambia Size ya T-shirt yako na umbali unaouchagua kukimbia kwenye Namba  0756 720 720. 
facebook
twitter
instagram